Aug 10, 2017
Baada Ya Kimya Cha muda mrefu msanii Ibrahim Mussa "Roma Mkatoliki"Baada Ya kimya cha muda mrefu amekuja na Ngoma Mpya ambayo kwa kiasi flani inaelezea yaliyomkumba... Track Inaitwa ZIMBABWE imefanyika Tongwe Records.. VIVA ROMA!!
Post a Comment