This is Music Anything Can Happen

Mar 28, 2018

Diamond PLATNUMZ Atinga BASATA


Baada ya kuibuka kwa Sintofahamu week iliyopita kati ya Msanii wa Bongo Flava Naseeb Abdul Na Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Bi JULIANA SHONZA, Siku ya Jana Diamond alikwenda BASATA na kuonana na Viongozi hao na kukubaliana kuzingatia Maadili.. TAZAMA Hapa kwa urefu zaidi:

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search