This is Music Anything Can Happen

May 5, 2018

GREEN CITY WHITE PARTY NA NANDY 2018

Leo Ndio Ile Siku iliyokuwa Ikisubiriwa kwa hamu na Wananchi wa MBEYA Katika EVENT Classic inayoitwa GREEN CITY WHITE PARTY...
Inafanyika TUGHIMBE HALL Kuanzia saa 1 Usiku, Na inasimamiwa Na MADJ Wako pendwa DVJ NICKY THE BEST na DJ DHIFA UNTOUCHABLE... Sambamba na Show kali kutoka Kwa Mwanadada NANDY...
Kiingilio Elfu 10 Kawaida na Elf 50 V.I.P... USIKOSE

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search