This is Music Anything Can Happen

Jun 12, 2019

NICK MINAJ ATUPWA KWENYE LIST Ya INDIGOAT

Katika hali isiyo ya kawaida, Jina la Nick Minaj limekatwa kwenye list ya wasanii watakaoperform katika Tour ya Chris Brown ya INDIGOAT. Hii imetokea jumatatu hii ambapo Breezy ametaja majina ya wasanii atakaoshirikiana nao katika TOUR yake. Breezy ametaja majina makubwa kwenye game ambayo atashirikiana nao akiwemo TY Dolla $ign, Tory Lanez na wengineo. Hii imekuwa kama habari ya kushangaza kidogo kwa sababu Nick Minaj alitajwa kuwa mojawapo ya wasanii watakaoungana nae katika Tour hiyo alipotangaza miezi miwili iliyopita. Inasemekana Chris Brown na Nick Minaj walikutana baada ya kufanya "WOBBLE UP" na G-EAZY na ikakadiriwa kuwa wamekubaliana kufanya collabo kwenye show hiyo ambayo hiyo imeonekana ndivyo sivyo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search