This is Music Anything Can Happen

Apr 22, 2022

EP : BEAUTY & BEAST BY BLACK INK

 Kutoka Nyanda za juu kusini mwa nchi ya Tanzania pale Jijini Mbeya kutana na Kijana Mkali wa Vocals anaitwa BLACK INK a.k.a Wino Mweusi na EP yake inaitwa BEAUTY & BEAST.

Extended Playlist hii imebeba Ngoma nane ikiwa na sauti za wakali wengine Kutoka Mkoani Mbeya na maeneo ya karibu, Wakali hao ni kama Elysha Hans, D Boy na Agense Jiger na EP hii ina jumla ya ngoma 6. Imefanywa na jumla ya Producers watatu, Producer Master Grand, Tad Beatz na Producer Baitony

Ngoma hizo ni:-

01. Some More

02. Ukimwona

03. Ni wewe

04. Fine (Feat. Elysha Hans)

05. Sawa (Feat. D Boy)

06. Beauty & Beast (Feat. Agense Jiger)

Isikilize yote kupitia Link hii

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search